Unknown Unknown Author
Title: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA MATUKIO YA BUNGE LA KATIBA DODOMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Subira Mgalu kwenye viwanja...

clip_image001Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Februari 19,2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 19, 2014. Kutoka kushoto ni Dominick Lyamchay, Rashid Mtuta, Consitantine Akitanda na  Fahmi Fovutwa.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top