MIRIAM ODEMBA ASHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE KWA KUPOST PICHA YA NUSU UTUPU….!!!!

MIRIAM ODEMBALeo ikiwa ni siku ya Kuzaliwa Kwa Mlimbwende Miriam Odemba ambaye amesha wahi kushinda taji la Miss Earth Air 2008 leo hii amesherehekea birthday yake na followers wake kwa kupost picha Mbalimbali,MIRIAM ODEMBA.2Picha iliyovuta hisia za wengi ni Picha hii aliyopost akiwa nusu mtupu yaani amejiziba sehemu zake nyeti tu kwa kutumia vitu vya asili vilivyofumwa na Shanga. Je ndio Kimodo Modo Hivi au hapa Amepitiliza unkizingatia yeye ni Muafrika na Hasa Mtanzania je Maadili yake sasa yako wapi au ndio uzungu huo?MIRIAM ODEMBA.3

clip_image002

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post