POLISI IRINGA WAZUIA MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA JIMBO LA KALENGA

clip_image001Polisi mkoani Iringa wakiwa  wameuzua msafara  wa mgombea ubunge jimbo la Kalenga, Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai  hawakuwa na kibali cha kufanya  maandamano  hayo ya magari  hapa  ni eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo  ulikuwa ukitokea maeneo la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi  ili kuchukua fomu.Mgombea  ubunge wa  Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya  kuruhusiwa  gari lake kupita Hapa  polisi  wakimtazama  mgombea  huyo akipita  mbele yao .

Habari kamili  itakujia  hivi  punde  hapa  endeleo  kutembelea mtandao  huu

PICHA KWA HISANI YA FRANCIS GODWIN, IRINGA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post