Mchezo ukiwa umemalizika katika uwanja wa Anfield mjini Liverpool, Liverpool wametoka kifua mbele kwa kuwafunga Washika Bunduki Magoli 5 bila ya huruma dhidi ya goli la Arteta 1 aliloifungia timu yake ya Arsenal kwa Mkwaju wa Penalty
VIDEO YA MAGOLI HII HAPA
Wafungaji wa Timu ya Liverpool leo hii ni
Tags
SPORTS NEWS