Mwanamke mmoja mkoa wa kipolisi Rolya amemng'ata mmewe uume wake baada ya mme huyu kutaka kuimarisha ndoa saa 9.00 alasiri.Mwanamke alikuwa anakataa anasema ni mapema mno kufanya tendo la ndoa atulize munkari, lakini mmewe hakusikia wala alikuwa haambiliki maana usongo ulikuwa umemzidi.
Mama huyo akaona isiwe haja ngoja autulize munkari akaung'ata mgegedo na meno mmewe ikabidi apige yowe kuomba msaada baada ya kupata maumivu makali na kukimbizwa hospitali, Madaktari walifanikiwa kuisize mgegedo na sasa imebaki kama kipisi cha sigara amekuwa mlemavu wa mgegedo, atautumia kutolea maji taka ya kimimika tu na si kwa kungonoka.
Mwanamke huyo anashikiliwa na polisi mkoa wa kipolisi huko Rolya.
Nawakilisha.
Somo la usawa wa kijinsia umewaingia sasa akina mama, na kuamua kujichukulia sheria mkononi.
Source: Wapo FM