Mchezaji Mahiri kutoka Africa ambaye ni mchezaji namba moja anayelipwa fedha nyingi katika Mchezo wa Mpira wa Miguu Duniani Samuel Eto’O ambaye kwa sasa anakipiga katika Club ya Uingereza Chelsea, ameoa Mrembo kutoka nchi ya Ivory Cost aitwaye Georgette Eto Fils na wamejaaliwa Kupata watoto Watatu.Georgette anaishi nchini Ufaransa na watoto wake hao. wakati wa ziara ya mapumziko nchini marekani Mama huyo wa watoto watatu aliweza kukaa utupu mbele ya kadamnasi na kupelekea kupigwa picha kadhaa.
Kuangalia Picha Hizi Lazima Uwe na Umri Unaozidi Miaka 18
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.