AUNTY EZEKIEL YU MAHUTUTI HOSPITALI

AUNTY EZEKIELI.2Katika Pita pita Yangu mtandaoni nikakutana na hii post katika moja ya Mitandao ya Kijamii kutoka kwenye acount ya Msanii wa maigizo Aunty Ezekiel akimshukuru mungu huku picha ikimuonesha amewekewa drip na yu Kitandani, hii ni dhahiri yuko hospitali na anahitaji maombi yenu.

Msanii huyo hajaweza kuweka wazi nini kimepelekea kuwepo hapo na ni hospitali gani aliyopo zaidi ya kumshukuru mungu kwa hali aliyonayo hivi sasa.AUNTY EZEKIELI

1 Comments

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

  1. Ni kujitowa kwa Mungu mwili roho na nafsi,Mungu aitawale ,maana bila yeye hatuwezi lolote,kumbe tufahamu kuwa maisha yetu yako mikononi mwake,Mungu atakuchunga kama unamtegemea.

    ReplyDelete
Previous Post Next Post