Mh. membe akimnadi Mgombea wa Udiwani Kata ya Kiwalala Ndg Zahoro shineni Hamisi katika Mkutano wa kufunga kampeni za Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Kiwalala, mkutano huo umefanyika katika kijiji cha Mahumbika lindi vijijini leo hii.Mh. Membe akisalimiana na Mh. Hasnein Murji Mbunge wa Jimbo La Mtwara Mjini katikati ni Ndg Mohamedi Nanyali Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Lindi katika Mkutano wa Kufunga kampeni za Udiwani Kata ya Kiwalala Leo hii.Mh. Bernad Membe akiwa na Katibu mKuu wa umoja wa Vijana CCm Taifa Ndg Sixtus Mapunda Pamoja na Mwenyekiti CCM wa Wilaya ya Lindi Vijijini Mohamed Nanyali katika mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Kiwalala wilaya ya Lindi, Mkutano huo Umefanyika Katika Kijiji cha Mahumbika Lindi Vijijini. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Mzee Ally Mohamedi Mtopa akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Mahumbika na Kuwaomba Kumchagua Mgombea wa CCM ndg Zahoro Shineni Hamis katika Uchaguzi wa Udiwani ambao utafanyika siku ya Jumapili tarehe 9/02/2014.Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa LINDI na kuhamia CCM hivi karibuni Ndg Selemani Chitanda akielezea sababu za kukihama chama hicho na kuhamia CCM na kuwaomba wana kiwalala kumpa kura Mgombea wa CCM kufuatia vyama vingine kukosa sera bora.
Home
»
HABARI ZA KITAIFA
» MH. MEMBE AFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KATA YA KIWALALA
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.