Je unazungumziaje Uamuzi huu wa Kala Jeremiah Kupost Mabishano Kati Ya wasanii wenzake wawili hawa Kati ya Diamond Platnumz na Ally kiba wakirushiana maneno. Mawazo yako ni uamuzi wa busara alioufanya au ndio anachochea mgogoro uliopo kati ya Wasanii hawa wawili? au anataka wapenzi wake wajue nini kinaendelea kati ya watu hao wawili HEBU TUPE ONI LAKO..!!
Post yenyewe ni Hii Hapa:
Post by Kala jeremiah.
Tags
HABARI ZA WASANII