JULIET IBRAHIM WHO IS THE MOST BEAUTIFUL WOMAN IN WEST AFRICA

Jarida la burudani la A-Listers limemtaja star wa movie Juliet Ibrahim kutoka Ghana kuwa ndiye mwanamke mrembo zaidi Afrika magharibi.clip_image002Juliet ambaye pia anafahamika kama Juliet Safo ni Mghana aliyechanganyika kutoka kwa baba mwenye asili ya Lebanon pamoja na mama mwenye asili ya Ghana na Liberia. Kati ya filamu alizowahi kucheza ni pamoja na Crime to Christ (2005), Honor My Will (2008), “Marriage of sorrows”(2009) na nyingine nyingi.clip_image001[9]Mtandao wa Naija Gists wa Nigeria umeandika habari hii lakini mwandishi ameonekana kutoridhishwa sana na kuhoji “Do you believe Juliet Ibrahim is indeed the most beautiful woman in West Africa abi dey wan say the most beautiful woman in Ghana?”clip_image001

clip_image002[6]

clip_image002[8]

clip_image001[11]

clip_image001[13]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post