HUYU JAMAA NI NOUMER HASA KATIKA MAMBO YA KUNENGUA HEBU JIONEE MWENYEWE

clip_image003Duniani kila Mtu na Kipaji chake zamani wakina Dada walionekana kuwa ni kati ya wanao jua kunengua vilivyo kuliko wanaume lakini Siku hizi hali imebadilika na kuonekana si lolote si chochote kwa wanaume kwenye jambo la kukata mauno.

hayo yamethibitishwa na maadhi ya wanenguaji wa bendi tofauti na hata waimbaji wenyewe kuonyesha uwezo mkubwa kuliko wanawake katika sekta hiyo. Mfano ni Hii picha hapa chini Waweza pata jibu ndugu msomaji na Kusadiki hiki nikisemacho.mwanaume kiuno

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post