HII NDIO BAISKELI MAALUM ITUMIKAYO KWA KUSAMBAZA MBEGU ZA KIUME

clip_image001Biskeli maalumu yenye mtungi wa kuifadhia mbegu za kiume kwa ajili ya samples kwa wateja wenye shida ya kushika mimba. Bank ya mbegu za kiume katika mji wa Copenhagen huko ulaya utumia baiskeli kama hizi kuwafikishia wateja mbegu hizo popote walipo ndani  ya mji huo wa Copenhagen. Hapa jamaa akiwaisha order kwa mteja hili afanikishe shida yake, wanasema kutumia baiskeli  kunaraisisha kufikia wateja kwa haraka bila usumbufu wa traffic kama wangetumia magari.Hapa mbegu zikiandaliwa tayari kwa kumfikishia mteja, Mtungi huu unatakiwa utunze mbegu hizo kwenye  ubaridi wa -350 Degrees  'F  hili kuwa sahii kwa mteja kufanikisha marengo. Mtungi huu unao uwezo wa kubeba Kg 250 sawa na pound 550.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post