Mwanamitindo Hamisa Hassan Mobeto ameamua kupuuza habari zinazo daiwa na kuzushwa na Mwanamuzika Nasibu Abdul Jumaa "Diamond Platnumz" na genge lake kuwa ana uhusiano wa siri wa kimapenzi na mwanamuziki huyo huyo anaye vuma kwa skendo za mapenzi na mabinti wenye umaarufu nchini,Uzushi huo unaodaiwa kuanzishwa na wapambe wa Diamondkwenye tovuti za kijamii, ikiwa ni siku chache tu baada ya mrembo huyo kutolewa katika ukurasa wa mbele wa jarida fulani nchini Kenya, jambo linalo hisiwa kumvutia mwanamuziki huyo mpka kulazimisha skendo hiyo ya kutoka kimapenzi na mwanamitindo huyo.katika uzushi huo wapambe wapambe wamedai mwanamuziki huyo amekuwa akiwa changanya kimapenzi mrembo huyo na wema sepetu huku baadhi ya blogs zinazombeba Diamond kuichangamkia habari hio, lakini cha kushngaza mrembo huyo awabwagaza na kupuuza skendo hiyo kwa kuto jibu chochote, na kwa sasa membo huyo yupo nchini Nigeria kwa shuguli BINAFSI.Mkali Diamond Platnumz
SOURCE: NEWPARADISE2013 BLOG
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.