Jakaya Mrisho Kikwete akivuka mto na wananchi wengine wawili ambao sijaweza kuwatambua hadi sasa, hii ilikuwa miaka ya (1990)nyuma kabla hajawa Prezidaa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mpe tano Mh. Jakaya kwani Harakati kazianza Kitaambo sana.
Tags
HABARI ZA KITAIFA