HUYU NDO MZEE MWENYE HATI MILIKI YA YANGA...ASEMA YEYE NDO MMILIKI HALALI WA YANGA

MMILIKI YANGAMmiliki halali wa Yanga aibuka na kuidai klabu yake kutoka kwa viongozi wa sasa! Asema yeye na Tabu Mangala ndio walioisajili klabu serikalini mwaka 1967. Aongeza tokea Tabu Mangala ajitenge
na kuanzisha Pan Afrika 1975, yeye akabaki na hati zote za klabu na amekuwa akizilipia.

Nini maoni yako?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post