BARCELONA YACHAPWA 3–1 NA REAL SOCIEDAD

clip_image001Barcelona,Ikiwajumlisha Lionel Messi, Neymar and Andres Iniesta, ambao walikuwa mwiba kwa Manchester City katika wiki iliyopita katika kombe la mabingwa wa ulaya wamepokea kichapo kutoka kwa timu ya Real Socieded kutoka spain hapo jana.

Alex Song alijifunga goli la kwanza mnamo dakika ya 32 lakini dakika nne baadae Messi aliweza kusawazisha bao hilo.clip_image001[5]Antoine Griezman alifunga goli la kuongoza mnamo dakika ya 54 na David Zurutuza alipeleka kifo kwa wanacatalunya hao kwa kushindilia goli la tatu kabla ya mpira kumalizika.

VIKOSI: Real Sociedad: Bravo; Zaldua, Mikel González, Iñigo Martínez, José Ángel; Elustondo, Markel Bergara; Zurutuza, Canales, Griezmann; Vela.

Subs: Zubikarai, Carlos Martínez, Seferovic, Xabi Prieto, Rubén Pardo, Ansotegi, Ros.

Barcelona: Valdés; Montoya, Piqué, Bartra, Adriano; Busquets, Song, Iniesta; Pedro, Messi, Neymar.

Subs: Pinto, Mascherano, Alves, Xavi, Tello, Fàbregas, Alexis.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post