AGNES ATUNZWA MI DOLALI KWA KUKATA MAUNO HUKO DODOMA, CHEKI HAPA

clip_image001Ukiwa Maarufu raha sana yaani ukijitokeza tu sehemu na kufanya kituko kimoja unaweza kukomba mihela kibao, hii imetokea huko DODOMA amara baada ya Video Quen Agnes Masogange kutoa show na Kutunzwa Mihela kibao haizkuwa ni Tsh Bali ni Dolali. Hebu Jionee Mwenyewe hapo Pichaniclip_image001[7]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post