Kiongozi wa Extra Bongo, Ally Choky (kushoto) na Muumin Mwinjuma wakiimba kwa pamoja katika uzinduzi wa albamu ya Mtenda akitendewa usiku huu Dar Live.
...Banza Stone mmoja wa vivutio.
...Ally Choky (kushoto) na Banza Stone.
Bendi ya Extra Bongo imezindua albamu yake ya ‘Mtenda akitendewa’ hapo jana katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakheem jijini Dar ambapo maelfu ya mashabiki wamehudhuria!
Tags
HABARI ZA WASANII