UMOJA WETU NDIO USHINDI WA MTAZANIA MWENZETU, MPIGIE KURA JUMA RAJAB “CHECHE”

clip_image001Kumbuka kumpigia kura Muigizaji Juma Rajab Rashid a.k.a Cheche ili aweze kushinda tuzo ya Muigizaji Bora wa Kiume kwenye Tamthilia kwa kutuma ujumbe mfupi kwenda namba +2783142100415 au kwenye mtandao- huu http://goo.gl/o72lu5

Kumbuka kuwa unaweza kupiga kura mara nyingi zaidi kila baada ya saa moja. Umoja wetu ni Ushindi kwa Mtanzania mwenzetu

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post