RICH MAVOKO APATA MSIBA MZITO….!!! SOMA HAPA ZAIDI

clip_image002Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.

Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” pamoja na hii caption amepost picha ya rangi nyeusi.

Pole sana Rich Mavoko na taarifa nyingine zikitoka utazipata hapahapabb

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post