NOMAAA...!!! JAMAA AFUMANIWA AKILA URODA NA MKE WA RAFIKI YAKE...!!

clip_image002Mwaka ulianza vibaya kwa jamaa huyu aliyefumaniwa na mke warafiki yake kipenzi huko mbeya kwenye gesti fulani ambako walikaa huko siku nzima, wakipeana burudani, haikuwa mara yao ya kwanza kufanya hivyo mpaka ikaja kujulikana na kunaswa.. clip_image002[5]Jamaa alipata nafasi ya kuvaa nguo ila mwanamke alikuwa bado yuko kitandani na taulo tu akiwa hajavaa nguo yoyote nyingine.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post