NEW MUSIC AUDIO: ISIKILIZE NA UIDOWNLOAD “FARO” KUTOKA KWA J.MARTINS

clip_image001Mwimbaji toka Naija ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki, J Martins ameachia ngoma mpya aliyoipa jina la Faro. Ukiisikiliza Faro ni wazi kuwa utaikubali na utaitabiria mafanikio kama wimbo wake uliosumbua sana‘Touching Body’.

Kwenye ‘Faro’, J Martins amepewa support na Dj Arafat aliyeing’arisha Touching Body, lakini pia sauti ya mkali toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Fally Ipupa imehusika japo ni ngumu kuifahamu moja kwa moja.

J Martins anamshukuru Mungu kupitia ngoma hii kwa baraka na ulinzi wake juu yake na marafiki zake katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni. Anawataja marafiki zake katika muziki, Bracket, Flavor, Timaya, Naeto, P-Square, K-Cee, IllBliss na wengine.
Usikilize hapa:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post