NDEGE ILIYOMBEBA WAZIRI WA HABARI ZANZIBAR YAANGUKA PEMBA

clip_image002Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni hii ikiwa imebeba jumla ya abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na Katiba wa Zanzibar, Mhe. Abubakar Khamis. Abiria wote wametoka salama.

(picha, maelezo: SufianiMafoto blog)

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post