MWIGIZAJI Kajala Masanja amekanusha vikali suala la kujipodoa badala yake amesema kiyoyozi cha nchini China kimeifanya ngozi yake ibadilike.
Akizungumza na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita, Kajala akiwa katika harakati za kuelekea China alisema amekuwa akiipenda nchi hiyo kwani akiwa huko ni ‘full’ kiyoyozi ambacho kimemfanya aonekane mweupe.“Ngozi yangu inabadilika na kuwa nzuri sana, China kunanipenda. Kiyoyozi mwanzo mwisho lazima uwe mweupe,” alisema mwigizaji huyo.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.