KUELEKEA VALENTINES DAY: LINDI YETU BLOG INAKULETEA “GIFT BOX”

gift boxUnaweza Kuibuka Mshindi wa Gift Box Kutoka Lindi Yetu Blog. Kuanzia Wiki Ijayo katika Kuikaribisha Ile siiku ya wapendanao Valentines Day Fahari ya Kusini Imeamua kutoa Zawadi kwa Wasomaji wake. valentinesJinsi ya Kufanya ili ushinde kwanza Unatakiwa uwe umelike Page Yetu ya Facebook then zawadi hiyo itakuwa inatolewa katika Web yetu na Page yetu pia hivyo yakupasa ku like page ili upate notfication wakati wa kutolewa Zawadi hiyo Pia Kutembelea Blog Lasivyo itakupita kwani wakwanza kuwahi kuiona ndio Bingwa....!!! 

Shindano hili litaanza Mnamo february 1, 2014
Kaa Mkao wa Kula

Imetolewa na:

Fungwa Kilozo

Founder and C.E.O of Lindi Yetu Blog

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post