Katika kile kinyang’anyiro cha Nani Mkali wa Mitupio ambacho kilitolewa na blog hii ya jamii mwezi Novermber, 2013 Kati ya Wasanii Bora kabisa wa Bongo flava hapa nchini Tanzania Hapo tunamzungumzia Diamond Platnumz na JuxMatokeo yamekuwa Mazuri kwa Upande wa Jux kwani kura zilizopigwa hadi kufikia Jana ni 6 tu na Kura zote zimeenda kwa Msanii JUX hivyo kuibuka Mshindi.
Kama Hukuwahi shiriki katika Mtanange huu basi waweza Bofya hapa Kwa kuangalia kura zilizopigwa na usisite kulike Page yetu na Pia kushiriki katika Mtanange unaokuja.
Wiki ijayo Kinyang’anyiro kitaendelea lakini ikiwa ni kwa upande wa wasanii wa Kike wa Muziki wa Kizazi kipya Je ungependa nani Tuwalete kwenu…..
Tags
HABARI ZA WASANII