IRENE PAUL AJIGAMBA KUWA HAKUNA MWANAMKE ANAYEWEZA KUMUIBA BOYFRIEND WAKE

clip_image001MSANII nyota wa filamu Irene Paul, amesema kwamba haoni mwanamke mwenye uwezo wa kumuibia bwanaake, ingawa hataki kumtaja hadharani kwakuwa alishaapa kutoyaanika maisha yake binafsi hata kabla hajawa staa.

Irene alizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni ambapo alisema kwamba mashabiki wake wanatakiwa kujua kwamba anampenzi .
"Mtu anataka niweke hadharani bwana wangu wakimjua watapata nini??
Hakuna anayeweza kumchukua mpenzi wangu hilo najua lakini masiha yangu ya sanaa tofauti na yale binafsi hivyo mashabiki wangu naomba wafahamu hilo", alisema.

Hata hivyo alisema kwamba amekuwa mtu wa kuheshimu mambo yake ya ndani kwani ndiyo yanaweza kuharibu kila kitu endapo atafanya matangazo kama wengine wanavyofanya.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post