Barabara ya Mtaa wa Ghana Manispaa ya Lindi Naarufu sana kama Mtaa wa Madukani Mtaa huu unakuwa na Heka heka Nyingi kwa watu kufanya Manunuzi yao katika Maduka hayo.
Hili ni Jengo la Ofisi za Takukuru mkoa wa Lindi liko katika Mtaa wa Sheikh Badi Manispaa ya Lindi. hali ya Leo ilikuwa ni hali ya Kibaridi na kimvua cha hapa na Pale.
Mtaa wa NMB Manispaa ya Lindi leo hii ukionekana hauna Kash Kash nyingi kama ulivyozoeleka kutokana na Wananchi wa mji huu Kupata huduma ya Kibenki hii inatokana na Hali ya hewa iliyopo ya Kimvua.
Tags
HABARI ZA KITAIFA