Unknown Unknown Author
Title: HUU NDIO MGAHAWA MAALUM KWA AJILI YA PAKA NA MBWA, JIONEE MBWA AKIFANYA ODA YA CHAKULA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mgahawa wa kwanza maalum kwa ajili ya mbwa na paka uitwao Pets Deli’ umefunguliwa huko Berlin, Ujerumani. Kati ya vyakula vinavyopatikana k...

Mgahawa wa kwanza maalum kwa ajili ya mbwa na paka uitwao Pets Deli’ umefunguliwa huko Berlin, Ujerumani.clip_image001Kati ya vyakula vinavyopatikana katika menu ya mgahawa huo ni pamoja na beef, bata mzinga, cupcakes, wali, viazi bila kusahau nyama ya Kangaroo.clip_image001[5]Mgahawa huo uliofunguliwa katika kipindi cha Christmas mwaka jana 2013, vyakula vya wanyama hao vinauzwa kuanzia €3 hadi €6 (6500-13000Tsh).clip_image001[7]Katika mgahawa huo kuna sehemu imetengwa kwa ajili ya wamiliki wa wanyama hao kupata kahawa wakisubiri mbwa na paka wao wapatiwe huduma.clip_image001[9]clip_image001[11]Mmiliki wa mgahawa huo David Spanier (31) alisema alipata wazo baada ya kugundua rafiki yake hua anashindwa kutumia vyakula vya supermarket kwa ajili ya wanyama kutokana na kuwa junk food.clip_image001[13]Spiner aliongeza kuwa nyama inayoandaliwa ina ubora ambao inaweza hata kuliwa na binadamu bila tatizo.clip_image001[15]

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top