HIKI KIVAZI CHA BIKINI SASA CHAVUKA MIPAKA KWA KWELI, HEBU JIONEE MWENYEWE….

clip_image002

Kila siku iendayo kwa Mungu watu wamekuwa hawalali ilimradi tu kukesha wakiwaza nini kesho yake watoe kitu kipya iwe kwenye tecknolojia, burudani, Mitindo na kadhalika…..

Sasa Hii ni kali ya Mwaka Mara baada ya Mwanamitindo kubuni Vazi hili la Bikini la kipekeee kabisa ambalo linaacha wazi sehemu kubwa ya maungo ya siri ya mvaa bikini hiyo.

Bikini hiyo imetokea kuoneshwa katika moja ya fasion show ambayo mwanadada kama ionekanavyo pichani akikatiza jukwaani bila wasiwasi kabisa.

Je Haya ni maendeleo au ni nini?

KUANGALIA PICHA NZIMA BOFYA HAPA YAKU PASA UWE 18+AGE

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post