Tarehe 27 January mimi Anna Peter ambaye ni mtangazaji wa East Africa Radio, mwanzilishi wa kampeni ya kusaidia kinamama na watoto wenye matatizo mbalimbali katika jamii 'Saidia Mama', na mwimbaji pia nitakuwa nasherehekea siku yangu ya kuzaliwa.
“Mwaka huu nimeamua nitumie sauti yangu ambyo Mungu amenibariki kushare na Wasichana na wanawake wenzangu kokote pale duniani ujumbe huu 'Tunaweza' ambao wimbo wake utatoka rasmi siku hiyo tarehe 27”.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.