BREAKING NEWS! KATIBU MKUU MPYA WA SIMBA NI EZEKIEL KAMWAGA, HAFISA HABARI NI ASHA MUHAJI

clip_image002Uongozi wa klabu ya Simba umempandisha cheo  aliyekuwa hafisa habari wa klabu hiyo Ezekiel Kamwaga na kuwa katibu mkuu mpya, Kamwaga anachukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyepata ajira akiwa kama mkurugenzi wa kitengo cha wanachama na sheria pale TFF.Klabu ya Simba pia imemteua mwandishi mkongwe wa habari za michezo Asha Muhaji kuwa hafisa habari mpya wa klabu hiyo.
Taarifa Zaidi endelea kufuatilia mtandao huu makini kabisa wa habari za michezo..

CHANZO SHAFFIDAUDA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post