Hit maker wa Hakuna Yule (Missing You) mwana dada mrembo kutoka nchini Kenya Avril, amfichue rasmi mvulana wa kizulu wa South Africa ambaye ni mchumba wake anayetarajia kufunga naye ndoa baada ya kuwa nae katika mahusiano ya chini chini kwa muda mrefu na mpenzi wake huyo.
Avril akiwa na mchumba wake katika ndege kuelekea South Africa
Avril alishawahi post katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa mwaka jana picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mpenzi wake, lakini mashabiki wa msanii huyo walikuwa wana hamu ya kumjua au kuona picha ya mvulana ambaye amebahatika kumvisha pete ya uchumba mwana dada Avril.
Pete ya uchumba aliyovikwa Avril
Na Haya ni Baadhi ya Maoni ya Wadau mara baada ya kupost picha hii
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.