Nawashukuru sana ndg, jamaa na marafiki popote mlipo kwa Dua zenu
katika Kumuombea mtoto Mpendwa Sheikha Abdulaziz ambaye ametimiza Umri
wa Miaka 3 toka azaliwe tarehe 11 jan 2011
Hakika dua zenu ni msingi mwema wa Maisha yake..
Sote kwa pamoja tuzidi kumjazia heri ili asaidie Maendeleo ya Nchi yetu
Natanguliza shukrani
Mdau wenu-ABDULAZIZ VIDEO-LINDI
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.