CHEK BAADHI YA PICHA ZA MOVIE MPYA YA NISHA BEBEE

clip_image001Nishas Film Production na mwanadada machachari mchakarikaji asiyekuwa namashauzi @nishabebee wamemaliza kupika movie hii iliyojaa vituko na mashamsham hahahaa otea sasa utamu wake utakuwaje. Nisha ameniambia nimapema kusema jina la movie hiyo ila mashabiki wake wakae mkao wakuona kitu kingine kizuri kwa mwaka huu 2014clip_image001[8]

clip_image001[10]

clip_image001[12]

clip_image001[14]

clip_image001[16]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post