Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameshinda kesi yake aliyoifungua akiitaka Kamati Kuu ya Chadema kutojadili Uanachama wake hadi kesi ya msingi aliyoifungua itakaposikilizwa.
Mahakama kuu ya Tanzania imetengua maamuzi ya Chadema ya kumvua madaraka Zitto Kabwe.
Judge amesisitiza sana umuhimu wa demokrasia na kuvumiliana inapotokea tofauti ya mawazo. Amesema, kila mtanzania anastahili kusikilizwa na kupewa nafasi ya kuamua atakalo bila kuvunja katiba ya nchi. “kwa maana hiyo sasa Mahakama imempa kinga Zitto kabwe kutojadiliwa uanachama wake na kamati kuu ya chama chake cha chadema”.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.