BRAND NEW VIDEO:: NISAMEHE BY ANGEL

clip_image002Je unamkumbuka Angel? Bila shaka kama ulikuwa unafuatilia lile shindano la Tusker Project Fame, hasa TPF6 utakuwa una taswira nzuri. Alikuwa akiiwakilisha Tanzania kwenye shindano hili mwaka jana. Hii ni video yake ya kwanza inayokwenda kwa jina “Nisamehe” kuifanya tangu atoke shindano la Tusker Project Fame.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post