Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania ila watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikonon. Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.