Unknown Unknown Author
Title: WARAKA WA SIRI WA CHADEMA, UNATISHIA MAISHA YA ZITTO KABWE. USOME HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ndugu watanzania, Nimelazimika kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa mawasiliano ya ndani ya chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Ta...

Ndugu watanzania,
Nimelazimika kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa mawasiliano ya ndani ya chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Katibu mkuu, na wanaoitwa wa jumbe wa baraza la maamuzi la chama ambao kwa kweli sijafanikiwa kuwafahamu.

Waraka huu nimeuchomoa kwenye file la kazi za kila siku za ndugu HEMEDI SABULA ambaye ni Afisa wa kurugenzi ya ulinzi na usalama wa CHADEMA MAKAO MAKUU.

Ujumbe uliokuwepo ndani ya huu waraka ni wa kusikitisha sana kiasi kwamba nimeshindwa kuvumilia kuacha kuona watanzania wakiendelea kupotoshwa namna hii.

Tafadhali wanahabari sambazeni ujumbe huu ili watanzania wengi zaidi waweze kuendelea kutambua kinachoendelea ndani ya chama chetu.

Ninaomba niendelee kuficha jina langu kwa sasa, Niiteni mwanamapinduzi mzalendo.
Makao makuu chadem
regards

*****************************************

Nanukuu katika hayo maelezo maana naona hayasomeki vizuri
mheshimiwa mwenyekiti, wajumbe wa baraza maalum la mapinduzi ya chama ni vema sasa tujipongeze kwa kazi nzuri tuliyoifanya.

Tangu tulipomalizana na CHACHA WANGWE harakati na mikiki mikiki yake kuanzia 2008 sasa tumekomesha.

Tuwapongeze sana makamanda LEMA na MNYIKA kwa kuandaa waraka wa siri unaoonyesha namna anavyolipwa mamilioni ya fedha.

Hata kama atakwenda kushitaki mahakamani tutasingizia kuwa amebebwa na mahakama kwa kuwa agenda yetu ya kumshusha na kutumiwa na CCM imefanikiwa sana kama ilivyokuwa kwa WANGWE, hivi sasa kila kona ananuka, hakuna anayeweza tena kumuamini kuwa hatumiwi na CCM, mpaka ukweli utapokuja kugundulika kuwa na mchezo nafikiri itakuwa tayari tumeshatimiza malengo yetu.

Pamoja na pongezi lakini pia hatutakiwa kulala, ni lazima tuendeleze mapambano ya kumchafua mpaka aone aibu kutembea, mpaka ajivue uanachama na ubunge. Huyu sio mtu mzuri hata kidogo, amevamia chama ambacho hajui waasisi wetu mlikianzisha kwa malengo gani, eti demokrasia, shauri yake

Tumdhibiti sasa na agenda yao ya kwamba sisi ni chama cha waChaga na wakristo, kuwa ajili watu wa mikoa mingine kama vile Marcus, Kibatala na wengineo inaweza kuwa utetezi kwetu. Hoja ya ubunge wa viti maalum kuwa ni upendeleo haina mashiko tena shida ni hili la uchaga na ukristo kidogo, japo la ukristo linatubeba kwa kuwa tunapata sapoti ya wakristo wengi.

Nimesikia fununu kuwa watazunguka nchi nzima kutusema vibaya lakini hawatafanikiwa kwa kuwa makamanda wetu wameshatangulia huko tangu usiku wa siku tuliyomchinja.

Nimewaagiza pia makamanda wetu wa RED BRIGED wazuie na ikiwezekana kuwadhuru na hata kuwaua kabisa dawa ya hawa watu ni kuwashughulikia mpaka mwisho

NAWASILISHA USIRI UENDELEE KWENYE MAWASILIANO YETU.

clip_image002

SOURCE: Swahilitz.info

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top