Unknown Unknown Author
Title: TIPPER LAPOROMOKA RUANGWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Na .Abdulaziz,Ruangwa Gari ambayo namba zake hazikuweza kupatikana mara moja Linalomilikiwa na Linyandu wa Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi li...

rwg

Na .Abdulaziz,Ruangwa
Gari ambayo namba zake hazikuweza kupatikana mara moja Linalomilikiwa na Linyandu wa Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi lilikutwa limepata ajali eneo la Maguja baada ya breki zake kufeli. Hakuna majeruhi Katika ajali hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top