HABARI NJEMA KWA WATUMIAJI WA SIMU TANZANIA…SOMA HAPA KUJUA KUHUSU KODI

laini za simuHabari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alipotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia suala  hilo....

Naibu Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano, sayansi na teknolojia “January Makamba” ametoa habari mpya na nzuri  kuhusu kodi hii....

Kupita ukurasa wake wa facebook, Makamba  ameposti  huu  ujumbe:
 “Mheshimiwa Rais ametia sahihi Hati ya Dharura (Certificate of Emergency) kufanyika marekebisho kwa Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 kuondoa tozo ya kodi kwa laini za simu (SimCard Tax). Asante Mheshimiwa Rais.”

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post