USALAMA WA RAIA NA MALI ZAKE WAZIDI KUZOROTA NCHINI TANZANIA
byUnknown-
0
Usalama wa raia na mali zetu ni mdogo Kama inavyoonekana katika picha hii Gari isiyo na namba za usajiri(Plate number) inapopewa baraka kusimama ktk BENKI. Imedhihiri leo Huko Kahama Shinyanga.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...