Mkali wa michano nchini Tanzania anayetamba na ngoma “Salam Zao”, Ney Wa Mitego leo hii Ameachia ngoma mpya iitwayo “Nakula Ujana”.
Ngoma hiyo mpya imefanyikia katika studio kali ya Master Jay Records (MJ Records) chini ya producer Marco Chali na producer Mr.T Touch, usikose kusikia ngoma hiyo mpya bofya kitufe cha play kwa kusikiliza na Unaweza kuidownload
Tags
HABARI ZA WASANII