BREAKING NEWS: LORI LA MABOMBA YA GESI LAPATA AJALI MBAYA MNOLELA - LINDI

IMG-20131124-WA0003Lori linalofanya kazi ya usafirishaji wa mabomba ya gesi kutoka Mtwara hivi punde limapata Ajali mbaya  eneo la Kijiji cha Mnolela lindi vijijini.

IMG-20131124-WA0004Lipota wetu ametujuza kuwa Gari hilo limepinduka na kusababisha mtu mmoja kupoteza maisha na gari hilo kuumia vibaya.

Picha na Brian Mwakatuma – Mnolela

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post