Shabiki mwananke wa Yanga akitolewa kwenda kupata huduma ya kwanza baada ya kuzimia alipokuwa akishagilia bao la pili dhidi ya watani wao wa jadi Simba katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Timu hizo zimetoka sare ya mabao 3-3.
Shabiki mwingine wa Yanga akiwa amezimia
Wapenzi wa Yanga wakishangilioa
Kikosi cha Yanga kilichopepetana na Simba
Kikosi cha Simba kilichocheza na Yanga
Yanga wakishangilia ushindi
Shabiki wa Simba akiwa amezimia
Kipa wa Simba akishukuru mungu baada ya kusawazisha mabao matatu.
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.