WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONDOKA SHENZHEN NA KUWASILI CHENGDU

clip_image001

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu  (kushoto) wakisalimiana na viongozi  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Chengdu Shuangliu nchini China wakiwa katika ziara ya kakazi nchini humo Oktoba 21, 2013.

clip_image002

Waziri Mkuu, Mkuu, Mizengo PInda  akiondoka katika NYumba ya wageni ya Wozhou, Shenzhen tayari kwa safari ya kwenda Chendu akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 21, 2013.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post