WAHAMIAJI HARAMU 14 WAKAMATWA MOROGORO CHEKI PICHA

clip_image001Gari lilokuwa limebeba wahamiaji haramu hao likiwa katika kituo cha polisi mkaoni morogoro

Wahamiaji haramu kutoka somalia wamekamatwa Mkoani Morogoro leo .Wahamiaji hao waliokuwa wakisafirishwa katika gari la mizigo lilokuwa limebeba shehena ya chokaa.Mmoja ya wahamiaji haramu akishushwa katika gari hilo akiwa katika hali mbaya.Kwa mujibu wa mashuhudwa wa tukio hilo wamesema gari hilo lilekamatwa katika barabara ya morogoro iringa katika kituo kimoja cha kujaza mafuta ambapo mhamiji haramu aliyekuwa katika gari hilo alipokosa hewa na ndipo alipotokea kwenye shehena wa mzigo ndipo wananchi walipomwona na kuanza kupiga kelele na kutoa taarifa kwa jeshi la polisi ndipo askari wa jeshi hilo walipofanikiwa kulikamata gari hilo na kuwakuta wahamiaji haramu wakiwa na miokate na maji wakiwa katika hali mbaya. ambapo wanne kati yao wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa morogoro.Afisa wa idara ya uhamiaji akizungumzia tukio hilo..

Endelea kuwa nasi kwa picha zaidi

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post