Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu muda mfupi baada ya kushiriki Swala ya EID iliyofanyika katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
(picha na Freddy Maro)
Tags
HABARI ZA KITAIFA