MGANGA MKUU AWATAKA WANANCHI KUACHA TABIA YA KUFUNGUA MAKARO YA MAJI MACHAFU KIPINDI CHA MVUA

clip_image002[5]

AfisaUhusiano toka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Bi.Tabu Shaibu(Kulia) akieleza kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani) mafanikio yaliyopatikana katika utoaji wa huduma ya Afya ikiwa ni pamoja na kuboresha Miundombinu ya afya katika manispaa hiyo,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Dkt. Asha Mahita.

clip_image002

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala Dkt. Asha Mahita(Kushoto) akitoa tahadhari kwa wananchi kupitia waandishi wa habari (hawapo pichani) kuacha tabia ya kufungua makaro ya maji machafu kipindi cha Mvua ili kuepuka magonjwa ya mlipuko, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Uhusiano wa Manispaa hiyo Bi.Tabu Shaibu.

Picha na Hassan Silayo

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post