KUMBE DIAMOND ALIKATALIWA KUSHOOT VIDEO YA “KAMWAMBIE” NA VIDEO QEEN KISA ALIKUWA UNDERGROUND

clip_image001Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana...

Lakini wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
na kukubali kushoot video na mimi na hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa nakushkuru na kukuombea sana kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa...

MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009 BestRnBSongof TheYear2009

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post